Yaliyojiri: Kongamano la Katiba: 15 Januari 2011 Nkrumah UDSM

Yaliyojiri: Kongamano la Katiba: 15 Januari 2011 Nkrumah UDSM

Prof. Mpangala------wananchi wawe huru katika kutoa maoni juu ya katiba mpya kusiwe na shinikizo kutoka kwa watawala ambao wengi ni makada wa chama tawala ambacho hakihitaji katiba mpya!!!
 
Katiba isha anza kuandikwa na damu ya wa Arusha ni wino wa dibaji.
 
AMA na ZOMBE please sasa mjiunge na kina Katavi mtujuze manake huku wamenikatia umeme nimeufuata kwa majirani watatu sasa naona ITV haishiki tena please tupeni info
 
Nguvu ya rais iangaliwe upya ili asiwe dikteta.......na hasa uteuzi wa watendaji wa serikali...
 
Mkenya anashangaa katiba ya Tanzania kumruhusu askari kufyatulia raia risasi.
 
JF ni ya wote kama unamtaka mtafute baadaye.

Tayari ni wangu kama unavyoona hapo juu kanijibu...........:ban:sitaki mabishano wakati wa hoja ya msingi kama hii,aliyekutuma mwambie hukunikuta.
 
Mnyika-----tume inayoteuliwa na rais haifai...........................................
 
Tayari ni wangu kama unavyoona hapo juu kanijibu...........:ban:sitaki mabishano wakati wa hoja ya msingi kama hii,aliyekutuma mwambie hukunikuta.
Kama ni wako sasa kiherehere kinachokuwasha kinatokea wapi juu chini usitake tufungulie wengine tumefunga.
 
Mnyika-----tume inayoteuliwa na rais haifai...........................................
Ha ha haa..JK atakuwa wa mwisho kuchakachua sasa...nadhani in5 years tutakuwa na katiba mpya!
 
Tayari ni wangu kama unavyoona hapo juu kanijibu...........:ban:sitaki mabishano wakati wa hoja ya msingi kama hii,aliyekutuma mwambie hukunikuta.
Pole my dear!!!! tuendelee kwenye hoja yetu ya msingi!
 
Mnyika, nina paraphrase. Katiba iliyoko hairuhusu uundaji wa katiba mpya kwa jinsi tunavyotaka taifa. Maana inaruhusu rais kukataa suggestions za tume na haikubali mapendekezo ya wananchi.
 
Kama ni wako sasa kiherehere kinachokuwasha kinatokea wapi juu chini usitake tufungulie wengine tumefunga.
wAKUU,
What is this all about?..
Hamuoni hapa watu wanaongelea intelijensia yenye mashiko?
 
Back
Top Bottom