Yaliyojiri: Kongamano la Katiba: 15 Januari 2011 Nkrumah UDSM

Yaliyojiri: Kongamano la Katiba: 15 Januari 2011 Nkrumah UDSM

Kasema hawa mawaziri wawe wanamuuliza raisi chinichini sio kuropoka tu.... mfano hatuitaji katiba au wanaojadili katiba ni kama mabata... watu wanashangilia.... Kongamano linafungwa sasa nane
 
Watu wanacheka cheka sana,inapotesha seriousness ya mjadala. Lipumba na celina wanapiga hi 5 tu apa.
 
Kitila..... Tukumbuke Kombani alisema alikuwa anatingisha kiberiti tu...... ITV wamechakachukua wamekata mawasiliano
 
katiba zote zina mapungufu..................huyu mzee anamuua lowassa, mawaziri wanaonywa na huyu mzee wamshauri rais...

huyu mzee ni nomaaa!!! Asije akanyamazishwa kimya kimya maana kawaua mafisi-wadi wa nchi hii mbaya

big up mkingaaaaa!!!!!! Ujasiri ndio msingi wa mapinduzi ya kweli
 
Kuepusha taifa na umwagaji wa damu tunahitaji katiba mpya ili kuepusha yaliyotokea Burundi na Kenya.
 
Kwani Katavi ndiyo kasema yeye karipoti tu aliyesema ni Lipumba labda umtafute akufafanulie.

Amenielewesha mengi najua nilikotoka nae kwenye huu mjadala,so tuachie hilo,si lazima utoe opinion yako kwenye kila kitu and by the way,nime-specify KATAVI.
 
Prof mpangala-sababu nyingine ya kuwa na katiba mpya kuepusha umwagaji damu.
 
Naombeni mawasiliano ya mkinga jamani jana nilmckilza mpaka nikatamani niingie msi2ni kujifua
 
Mkinga hakuna haja ya kuwa na tume ya katiba, amesema kulikwisha kuwa na tume za Nyalali na Kisanga, lakini hakuna kilicho fanyika, sasa bunge litunge sheria ya kuanzisha mchakato wa katiba.
 
Amenielewesha mengi najua nilikotoka nae kwenye huu mjadala,so tuachie hilo,si lazima utoe opinion yako kwenye kila kitu and by the way,nime-specify KATAVI.
Asante sana Michelle, nimekupata na nimekuelewesha hapo juu!!
 
Amenielewesha mengi najua nilikotoka nae kwenye huu mjadala,so tuachie hilo,si lazima utoe opinion yako kwenye kila kitu and by the way,nime-specify KATAVI.
JF ni ya wote kama unamtaka mtafute baadaye.
 
Mabere anatetea nafasi ya vyama vya siasa katika kuunda katiba na kusema kupunguza nafasi hii kama alivyosuggest ulimwengu si sawa.
 
Back
Top Bottom