Yaliyojiri: Kongamano la Katiba: 15 Januari 2011 Nkrumah UDSM

Yaliyojiri: Kongamano la Katiba: 15 Januari 2011 Nkrumah UDSM

Uharakishaji wa katiba ni muhimu ili kuondokana na matatizo kama yale ya tume ya uchaguzi, muhimu ni kuwa makini!!
 
Swali: Ufafanuzi juu ya ulimwengu alivyosema tusifanye katiba iende haraka........... Kutoka kwenye uchaguzi uliopita tume ilikuwa na matatizo hivyo inabidi katiba iende haraka ila ifanyike kwa umakini.
 
hawa wazungumzaji mbona hawagusi the g-spot ya mdahalo? hawajanivutia wakati tulitaka wateme cheche
 
Lissu Tunahitaji katiba mpya sababu utaratibu uliotufikisha hapa hauta tupeleka mbele,
 
Tundu Lissu. Dakika 3 hazitoshi kujadili hoja za shivji na ulimwengu. Mh huyu jamaa controversial!
 
Tundu Lissu.....kashangiliwa kweli!!!!
Watoa mada wamezungumza masaa mawili na nusu, anaomba muda wa uchangiaji uongezwe!!!
anatofautiana na Shivji, tunahitaji katiba mpya ili kubadili utaratibu uliotufikisha hapa ambao umetufikisha pabaya.
Nchi hii haiwezi kutawalika tena kwa katiba hii.......rais mfalme, chama kimoja, muungano wa serikali mbili.
 
Katiba ya bara inasema tanzania ni nchi moja na ya Zenji inasema zenji ni nchi (lissu)
 
Hatuna muungano tena, katiba ya zanzibar imevunja muungano!!!
 
Duu Tundu Lissu mtata, muda umeisha yeye anaongea pointi tu!!!!
 
1.Rais mfalme
2.mfumo wa chama kimoja
3.muungano wa Tanzania.
Mifumo hiyo hapo juu imeparanganyika hivyo haiwezi kutupeleka popote-TUNDU LISU ANAPINGANA NA MWALIMU WAKE
 
Back
Top Bottom