Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Kutoka Uwanja wa Lake Tanganyika, Kigoma: Kampeni za Dkt. Magufuli kusaka urais 2020-2025


Naona tunaenda vizuri,Taratibuu tu tuoneshane Makali
 
Namba hazidanganyi Mitandaoni na hata majukwaani CCM safii
View attachment 1573190
Wewe mbona kiazi sana? Hayo matokeo alikuja nayo Nape kule Twitter jana anapata comments 770 za kumchana chana hadi akakiri mwenyewe kuwa hakuwahi kupata comments nyingi kama zile.
Sasa alipoiletea ilikuwa imeandikwa "John Magufuri" na "Tundu Lussu" naona mmeenda ku edit ila ndugu yenu Nape aliipata jana!
 
Kigoma hatumchagui Magufuli!Hana jipya alilofanya huku kigoma!

Mfuko waDhamana wa Mikopo kwa Wajasiriamali katika Sekta ya Kilimo
(SIDO SME-CGS) umetoa udhamini wa mikopo 33 yenye thamani ya
shilingi 1,048,000,000 kwenye mikoa ya Dar es Salaam, Morogoro,
Arusha, Kigoma, Mwanza, Singida, Mbeya, Iringa, Njombe, Tanga na
Manyara;
 
Tuna imani Lissu atafanya mambo mazuri zaidi na yenye tija zaidi!
Tunamsubiri Lissu na kura tutampa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…