Yaliyojiri kwenye Birthday Ya Ruge Mutahaba

Katerero ni silaha hatari sana hapa mjini
 
mke halali nani sasa kati ya hao watatu.

hakuna hata mle hapo wote vichunchuda wa pembeni............

na Ray C ana bwana ake kila siku yuko nae lakin hapo kwa Ruge anasema
your my rock sijui hata huyu mwanaume wake anajisikiaje
 
Mjanja alikuwa Finna Mango tu! Aliishi na Ruge nyumba moja muda mrefu na hakuzaa nae.
Kipindi kile kile alikuwa anatoka na Ray c na Lady jay Dee.
Finna akaona hakuna bwana hapa zaidi ya kusogeza siku,
Na hata jibu birthday wishes hata moja.
Hana kanuni muda wowote sehemu yoyote anaweza kuanzisha uhusiano.
 

Haaa..wanajulia wapi na wao wameingia mjini juzi..utoto mwingi
 
Haaa..wanajulia wapi na wao wameingia mjini juzi..utoto mwingi

Kama unaweza kuongea na msanii Vumilia aliejitoa THT ndiyo atakupa story zaidi na sababu yake kujitoa THT, jamaa ili upate ufadhiri wake lazima akuonje! Kama ni mwanaume uwe na talent kweli.
 
Reactions: SMU
Kazi kweli kweli Huyu ni Muhaya Huyu Ruge ndo mana haeleweki Huyu Jamaa cheki alivyowapanga kina dada hapo
 
Reactions: SMU
huyu mhaya hatare,..kweli ukiwa na hela utaitwa cuteful!
 
jamaa anatisha bado wengine ambao wameuchuna
 
Kukosa maadili ya kazi,huwezi kuwa na uhusiano wa kimapenzi na subordinates wako sehemu ya kazi!
 
Reactions: SMU
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…