Yaliyojiri kwenye Birthday Ya Ruge Mutahaba

Yaliyojiri kwenye Birthday Ya Ruge Mutahaba

Binamu mbona baba juju handsome tu

Mbona sijawah sikia akina Mohammed dewji, january makamba na akina mengi wakigombaniwa jaman au wenyew sio sukar ya warembo?

Wale nadhani wanafanya kwa sirii sanaaa hawataki matangazoo
 
Ruge anatembeza dudu mbaya + katerero ndio balaa mademu wa3 wote wanajuana.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: SMU
Mjanja alikuwa Finna Mango tu! Aliishi na Ruge nyumba moja muda mrefu na hakuzaa nae.
Kipindi kile kile alikuwa anatoka na Ray c na Lady jay Dee.
Finna akaona hakuna bwana hapa zaidi ya kusogeza siku,
Na hata jibu birthday wishes hata moja.
Hana kanuni muda wowote sehemu yoyote anaweza kuanzisha uhusiano.

fina na jdee nao wako kwenye list? Wakora sana ruge
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Sijui nani ndio mmiliki halali

attachment.php






attachment.php






attachment.php






attachment.php







attachment.php

"Bestest"

Na mm nilishangaa kuona ilo neno ila nilijua labda alikuwa na maana tofaut lol ngeli shidaaa
 
Lol kumbe bora machikini ruge angekuwa muichilamu angeweza tu kuwaoa wote hao lakini ndoa moja maana yke ni kuruhusu michepuko yote hii huruma kwa hao nyumba ndogo ha ha haaaaa
 
Back
Top Bottom