Yaliyojiri kwenye Birthday Ya Ruge Mutahaba

Yaliyojiri kwenye Birthday Ya Ruge Mutahaba

Mwanaume anapimwa mafanikio yake kwa kuangalia aina ya familia anayoongoza.
 
Mpambano uko instagram.....kila mtu amemuwish baby ruge hbd. Madongo yanarushwa na wahusika huku washabiki wa team zote wakishabikia....ray c amesema he (ruge) will always be mine na zama anajidanganya tu, Zamaradi amesema you are my everything, na mama jordan kasema wana miaka 9 na anamshukuru Mungu kwa kimuumba ruge

Hao wanawake wote hawajielewi
 
kinachogombewa hapo siyo libolo bali ni pesa na umaarufu kunuka tu.
basi ni shida mjini.. mie nlijua ni team libolo! Basi. hela inawafanya watoane roho live bila aubu hasa rayc na zamaradi.
 
Wanawake mna utu na dhamani ya asili mliyopewa na Mungu...kwanini wengi wanashindwa kutunza heshima hiyo kubwa?......Alafu washabiki wakubwa wa haya (wachochezi) ni wanawake wenyewe......

Pesa zinapelekea kufanya yote haya......bila kujali vizazi vyenu wakianza watoto wenu watashuhudia haya kupitia mitandao hii hii.......mishipa ya aibu imewakatika enhe?......Don't care enhe?...Haya bana.....endelezeni ujanja ujanja wa mjini ili maisha yasogee lakini UTU ukichakaa umechakaa.....wapo wanawake wengi wa mfano....inawezekana...

Tafuta namna ya kusimama mwenyewe kwa miguu yako na uridhike kuishi kwa jasho lako ili ulinde utu wako......
Mkuu umeongea point sana, tukiwaambia hata hapa jf wanasema tunawachukia huku si kujidhalilisha kabisa
 
Kama unaweza kuongea na msanii Vumilia aliejitoa THT ndiyo atakupa story zaidi na sababu yake kujitoa THT, jamaa ili upate ufadhiri wake lazima akuonje! Kama ni mwanaume uwe na talent kweli.

Daah napata pcha sasa,vumilia anaimba ni noma! Lakin looh walaiamua kuzima kipaj chake!
 
hakuna hata mle hapo wote vichunchuda wa pembeni............

na Ray C ana bwana ake kila siku yuko nae lakin hapo kwa Ruge anasema
your my rock sijui hata huyu mwanaume wake anajisikiaje

Wengine wanakuwaga wanaume majina tu,kiuhalisia sio wanaume hivyo usishangae kuona mambo kama hayo.
 
jamaaa inaonekana ni mgodi wa dhahabu....
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Back
Top Bottom