Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA Tundu Lissu Mkoani Ruvuma

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Wakuu natanguliza salamu , Ikumbukwe kwamba tumebakiwa na siku 3 tu za kampeni ambapo baada ya hapo ni Uchaguzi wa kihistoria ambao unakwenda kukata minyororo ya utumwa waliyofungwa Watanzania kwa miaka mingi sana , uongozi ujao wa Tundu Lissu unakuja kuondoa utumwa na kurejesha Uhuru na haki kwa wananchi , sina shaka na ushindi wake .

Leo Mh Lissu atakuwa Mkoani Ruvuma , ambako atavurumisha mikutano kadhaa , na kama kawaida yetu tutakuletea kila kinachojiri .

Endelea kubaki hapa hapa JF kwa taarifa za Uhakika.



=========

Tunduru




Songea :

 
haya bwana
 
Lete updates basi acha kelele tuma picha picha, ka video kama unasema kweli
 
Hii [LIVE] kwa sasa imekuwa kama mkaa uliomwagiwa maji na Moderator anaruhusu huku wakijua baada ya hapo hakuna live yoyote, kuna haja ya kuwa na uelewa wa live na updates.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…