Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
Hapa akiwa kijiji cha Kirando wilaya ya Nkasi jimbo la Nkasi Kaskazini mkoani Rukwa. Una swali jingine tukusaidie?hivi Lissu amefika rukwa kweli?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa akiwa kijiji cha Kirando wilaya ya Nkasi jimbo la Nkasi Kaskazini mkoani Rukwa. Una swali jingine tukusaidie?hivi Lissu amefika rukwa kweli?
mwalimu alienda tukuyu akiwa na suguKyela na Rungwe hatujamwona Lissu wala Salum Mwalim, tunawahitaji
ok, ameshafanya kampeni unguja na pemba?Hapa akiwa kijiji cha Kirando wilaya ya Nkasi jimbo la Nkasi Kaskazini mkoani Rukwa. Una swali jingine tukusaidie? View attachment 1610373
Tayariok, ameshafanya kampeni unguja na pemba?
Hii [LIVE] kwa sasa imekuwa kama mkaa uliomwagiwa maji na Moderator anaruhusu huku wakijua baada ya hapo hakuna live yoyote, kuna haja ya kuwa na uelewa wa live na updates.
ok, pongezi kwa chama kuratibu mikutano kwa uwelediTayari
Hii imebuma mama, Mbowe kawaingiza chaka baada ya kujua mtashindwa.Wito wa Muhimu : TOA TAARIFA KUHUSU VITUO HEWA NA MALORI YANAYOSAFIRISHA KURA HEWA ( MAHINDI ) HARAKA IWEZEKANAVYO
Kumbe alifika mpaka Kirando Nkasi,kweli si mchezo jamaa amezunguma nchi hii sanaaHapa akiwa kijiji cha Kirando wilaya ya Nkasi jimbo la Nkasi Kaskazini mkoani Rukwa. Una swali jingine tukusaidie? View attachment 1610373
Mbona mtwara mjini ,masas tandahimba ,newala ad nachingwea ajafika tumeona lindi mjini tuWito wa Muhimu : TOA TAARIFA KUHUSU VITUO HEWA NA MALORI YANAYOSAFIRISHA KURA HEWA ( MAHINDI ) HARAKA IWEZEKANAVYO
kila la kheri katika utalii wako wa ndani mzungu wa ubelgijiWakuu natanguliza salamu , Ikumbukwe kwamba tumebakiwa na siku 3 tu za kampeni ambapo baada ya hapo ni Uchaguzi wa kihistoria ambao unakwenda kukata minyororo ya utumwa waliyofungwa Watanzania kwa miaka mingi sana , uongozi ujao wa Tundu Lissu unakuja kuondoa utumwa na kurejesha Uhuru na haki kwa wananchi , sina shaka na ushindi wake .
Leo Mh Lissu atakuwa Mkoani Ruvuma , ambako atavurumisha mikutano kadhaa , na kama kawaida yetu tutakuletea kila kinachojiri .
Endelea kubaki hapa hapa JF kwa taarifa za Uhakika.
=========
anaongeza pesa za kigeni huyu safi sanaKwa hiyo amekuja kufanya utalii wa uvuvi? Tar 18 December anakula kona kurudi Ubelgiji? Amekuja kuchafua chama chetu.
Mkuu Nafikiri nia ya jamaa ni tupewe taarifa wakati tukio likiendelea na siyo kutuma taarifa jioni baada ya kazi kwisha! Mnajitaidi lakini tukubali kukoselewa na kuboresha! #NiYeye!Kwani wewe unaelewa live maana yake ni nini?.Au unataka kusema huyo lisu hayuko uko paliposemwa yuko live.Maana mimi najua hiyo live inamuhusu muhusika anayesemwa kua yuko eneo husika kiualisia.Live ni kitu kinachofanyika,kutendeka au kilichopo eneo hilo kwa wakati huo.Sasa hebu lete nawewe hiyo maana yako tuijue.
Li-🔅lipole bhana! Point zako nyingi ni vere ipp (international pumba points!)Kwa hiyo amekuja kufanya utalii wa uvuvi? Tar 18 December anakula kona kurudi Ubelgiji? Amekuja kuchafua chama chetu.
Sehem tajwa kiwango cha uelewa ni kikubwa sana. Wengi wamekombolewa kifikra ila bado wale mashabik maslahi wa Chama dola.Kyela na Rungwe hatujamwona Lissu wala Salum Mwalim, tunawahitaji
Mkuu huo ndiyo ukweli usikasilike, huwezi kukuta sehemu wameandika girl ukaingia ukakutana na boys NO.Jikite kwenye mada badala ya kuangalia rangi za maandishi