Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA Tundu Lissu Mkoani Ruvuma

Kila la kheri kwa Rais wetu wazalendo halisi Tundu Lissu
 
I
Usiwe unatutrlekeza sasa. Full updates
 
Tatizo ni pale unaposema live na kuweka link iliyokufa au isiyokuwepo.
 
Bora afike huko kulikosuswa toka enzi za TANU na CCM nao wakaendeleza. Sijui ni kwa kuwa walitoka watu wanaojielewa kama Oscar Kambona, Lifa Chipaka, Maiko Kamaliza, Gray Mataka na wengineo.

Kwa sasa tumejikuta tumebaki na akina Stela Manyanya!
 
CCM - Lowasa huwezi gombea urais, mwache Jakaya apeperushe bendera ya chama chetu. Lowasa atakua waziri mkuu👍

CHADEMA - Jakaya dhaifu, tunataka rais mwenye maamuzi magumu😍
- Lowasa fisadi tena fisadi papa. Ajiuzuluuuuu aondokeeee hatufaiiiii anauza nchiiii😍😍

CCM - Jakaya anamaliza muda wake, Lowasa anataka kupeperusha bendera lakini hatufai... hata kama wajumbe wamempitisha kwa maslahi mapana ya taifa na kwa vizazi vijavyo tumkate Lowasa tumpe John Pombe Magufuli😁👍

CHADEMA - Lowasa ni kiongozi shupavu sana. Inabidi tumwombe ahamie kwetu, tumpe nafasi agombee urais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania. Tena atakuja na mtaji wa watu na pesa. Tutashinda🤔👎

CCM - John Pombe Magufuli ameshinda na ndie rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania😍🍹🍸💃👍

CHADEMA - John Pombe Magufuli hafai, hashauriki, ana maamuzi magumu sanaaaa😆👎

CCM - Tanzania ni tajiri sana,wananchi tuchape kazi.Tujenge mashule, mahospitali, barabara,viwanda👍

CHADEMA - Serikali haijali wananchi. Serikali inajali maendeleo ya vitu na sio watu👎

CCM - Bila kuijenga madarasa watoto wetu watasoma wapi, bila hospitali mtatibiwa na bila bararabara mtapita wapi. Hakuna maendeleo ya vitu bila watu👍

CHADEMA - Tutawasemea kwa Amstadam mnatuonea, tutamwambia hatutaki barabara, wala mahospitali, wala mashule wala viwanda. Sisi tunataka maendeleo ya watu🤣👎👎

WATANZANIA - Nyie CHADEMA msituchezee, mmetuona watoto wadogoooo. Tunasema 5tena kwa John Pombe Magufuli tarehe 28.10.2020. Hakuna wa kumshinda Magufuli😍🇹🇿😍👍👍👍👍

Heri kujiunga DECI kuliko kujiunga chadema BAK
 
naomba radhi kwa kutoweka hewani kwa muda mrefu , hii ni kutokana na changamoto ya usafiri , hii nchi inahitaji mabadiliko ili tuondokane na changamoto hizi
 
umeandika uchafu gani ?
 
umeandika uchafu gani ?

Nimeandika uchafu wa CHADEMA
CHADEMA ni uchafu mtupu

Narudiaaa

CCM - Lowasa huwezi gombea urais, mwache Jakaya apeperushe bendera ya chama chetu. Lowasa atakua waziri mkuu👍

CHADEMA - Jakaya dhaifu, tunataka rais mwenye maamuzi magumu😍
- Lowasa fisadi tena fisadi papa. Ajiuzuluuuuu aondokeeee hatufaiiiii anauza nchiiii😍😍

CCM - Jakaya anamaliza muda wake, Lowasa anataka kupeperusha bendera lakini hatufai... hata kama wajumbe wamempitisha kwa maslahi mapana ya taifa na kwa vizazi vijavyo tumkate Lowasa tumpe John Pombe Magufuli😁👍

CHADEMA - Lowasa ni kiongozi shupavu sana. Inabidi tumwombe ahamie kwetu, tumpe nafasi agombee urais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania. Tena atakuja na mtaji wa watu na pesa. Tutashinda🤔👎

CCM - John Pombe Magufuli ameshinda na ndie rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania😍🍹🍸💃👍

CHADEMA - John Pombe Magufuli hafai, hashauriki, ana maamuzi magumu sanaaaa😆👎

CCM - Tanzania ni tajiri sana,wananchi tuchape kazi.Tujenge mashule, mahospitali, barabara,viwanda👍

CHADEMA - Serikali haijali wananchi. Serikali inajali maendeleo ya vitu na sio watu👎

CCM - Bila kuijenga madarasa watoto wetu watasoma wapi, bila hospitali mtatibiwa na bila bararabara mtapita wapi. Hakuna maendeleo ya vitu bila watu👍

CHADEMA - Tutawasemea kwa Amstadam mnatuonea, tutamwambia hatutaki barabara, wala mahospitali, wala mashule wala viwanda. Sisi tunataka maendeleo ya watu🤣👎👎

WATANZANIA - Nyie CHADEMA msituchezee, mmetuona watoto wadogoooo. Tunasema 5tena kwa John Pombe Magufuli tarehe 28.10.2020. Hakuna wa kumshinda Magufuli😍🇹🇿😍👍👍👍👍

Heri kujiunga DECI kuliko kujiunga chadema
 
Mama D my love upo

Habari yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…