Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA Tundu Lissu Mkoani Ruvuma

Ahsante sana mkuu Erythrocyte umetutendea Haki sisi tuliombali, tunamtakia kila Heri kipenzi cha Watanzania....Hakika Mtu huyu anapendwa sana na Wananchi na hakuna kitakachomzuia kwenda Ikulu, Nia ya kumchagua tunayo na Sababu za kumchagua tunazo....
Wapenda haki popote mlipo,na wazalendo halisi wa taifa hili Tanzania inawahitaji katika kipindi hiki zaidi ya wakati mwingine wowote.Jitendee haki mteendee haki na Mtanzania mwenzako mhamasishe akapige kura ya ukombozi,Wataifa letu,haki huinua taifa.
 
Mbona unaweka picha za enzi ya Lowassa jamani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…