Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

Mimi narudia tena...hii nchi...alhamdullilah.Kumbe inatufaa tukiwa na wanasiasa MAFISADI....wachukue kila kitu kwani kwa dalili hizi hamna chakusaidiana sisi kama wananchi.Huu ni USNITCH wahali ya juu.
Take it easy mkuu....

Kunywa maji ya baridi then pumzika....

Utaumia kwa hasira bure wakati Diamond mwenyewe yuko South Africa anakula bata....Na he doesn't bother....

Kubali tu kwamba Kiba ameshinda mwaka huu...Ni kama ikivyokuwa kwa Real Madrid au Azam FC mwaka jana....Mwaka huu ni wa Barca na Yanga....

Hata angeshinda Diamond bado malalamiko yangekuwepo....Ndio ushindani huo Chifu...
 
Tumemaliza shighuli ya KTMA sasa ni MTV na zike za nigeria. Kiba asubir mwakani tena maswala ya tuzo
 
anakuuma wepi?

Bella na barnabas. Ambazo nafasi zote kutokana tu na matimu yasiyo na maana na ushabik ambao umeingia mpaka kwa waandaaji zimeenda kwa Kiba. Ni ujinga mkubwa.

Hata kama mlivote, it makes no sense. Na wala msidhani na msitarajie breackthrough toka kwa Kiba. Hata uprove ushndi huu kwa dunia.
 
Akili ako haitoshi kujibishana na akili yangu, una akil ndogo sana mkuu, sorry for that.

Hahahha akili ndogo wewe unayelalamikia kura hahahahhaa hii akili ndogo ndio inakufanya ukeshe humu
 

Cjawahi kumchukia alikiba, nmchukie ili inisaidie nin kwenye maisha yangu???
Nasikilza mzk wake toka diamond hajatoka, ila diamond ka'fight mpk katoka kimataifa, yey still yupo palepale, namm co mnafik, I support the best..

Mstar wa mwsho umeandika nn, au ndo najibishana na viroba apa
 
Acha matusi wewe...

Yaani Diamond kushindwa ndio uwaite watanzania vilaza???

Diamond ameshindwa kwa sababu kura hazikutosha...
una maana gani..kwamba diamond uwezo wake ni mkubwa kuliko waliochukua sema kura hazijatosha tu..si ndio?
 
Mtumbuizaji bora wa kike - Vannesa mdee, muimbaji bora wa kike - Vannesa mdee... bado vanesa hajafikia kiwango cha kuwa bora kuliko lady jaydee, japokuwa changamoto ni muhimu lakini hapana aiseeh, jide is the best
 
Kuna kitu wengi hawajaelewa mziki bila mashabiki kukupigia kura ni bure hata kama unaimba kama kasuku. Majaji hawawezi kuamua kukupa tuzo ikiwa mashabiki hawajaikubali kazi yako (hawaja kupigia kura) hiyo ndo sababu ya kupanda na kushuka ghafla kwenye tuzo.kama hajafuniwa kura za kutosha it means mashabiki hawakukubali na ndo Majaji wakuu.
 

Kiba alianza kutoka kabla ya mondi hilo kumbuka, sasa karudi tena " the king is back"" hahaha mondi ndiye anasafiria nyota ya kiba, ndio maana kutwa kucha anatafuta makolabo walau aonekane ni zaidi ya kiba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…