Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,480
- 4,775
Take it easy mkuu....Mimi narudia tena...hii nchi...alhamdullilah.Kumbe inatufaa tukiwa na wanasiasa MAFISADI....wachukue kila kitu kwani kwa dalili hizi hamna chakusaidiana sisi kama wananchi.Huu ni USNITCH wahali ya juu.
Kunywa maji ya baridi then pumzika....
Utaumia kwa hasira bure wakati Diamond mwenyewe yuko South Africa anakula bata....Na he doesn't bother....
Kubali tu kwamba Kiba ameshinda mwaka huu...Ni kama ikivyokuwa kwa Real Madrid au Azam FC mwaka jana....Mwaka huu ni wa Barca na Yanga....
Hata angeshinda Diamond bado malalamiko yangekuwepo....Ndio ushindani huo Chifu...