unanitaka
JF-Expert Member
- Oct 7, 2014
- 2,178
- 1,045
Hii tabia ya kumchukia mtu aliyefanikiwa na kutaka ashuke cjui watz wanaitoaga wap....ni wivu au kitu gan.
Hiv katika suala la tuzo unapiga kura kwa ajil ya ushabik au timu flan kwel
Asa hawa ndio kiba kapata, na diamond kakosa, then mnafaidika nin?
Nakuhakikishia mkuu kwa hali hii hatuji kupata wasanii wa kimataifa hata watano.
Watu gani nyie msioridhika??? Mwaka jana si tuliwapa? Kwani mondi ni msanii pekee tanzania? Kufanya makolabo na wanigeria si kigezo cha kupata kura nyingi, na kuwa msanii wa kimataifa haimaanishi lazima unyakue tuzo nyingi nyumbani. Watu tumepiga kura sababu mwana imetukosha so mutuwacheeee.