Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015


sio michezo na entairnment tu,akili ndogo zinaongoza akili kubwa tz katika kila sekta bongo afya,kilimo,siasa elimU, n.k
 
Kura hampigi mnalalamika, nyie ndio mgombea wenu wa urais atashindwa halafu mtalalamika Kuwa mmeibiwa Kura Wakati kura hampigi.
 
Ali kiba aibu mwakani bse alibahatisha mwaka huu alafu team kiba na team wema wote wakawa wanampigia kura..eti kumkomoa diamond..
 
junior252 Ulimpigia kura bro au unalaumu tu??ni kura ndo zinadetermine mshindi na sio maneno
 
Last edited by a moderator:
Mashabiki wa domo bana sijui wamekula maharage ya wapi
 
Diamond naye alibebwa tuzo ya kwanza nikaona upuuzi nikalala,nillijua ataendelea kubebwa tena kumbe mmeumizwa?!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 

Huyo Joh makini ipi mpya?alizoshindia mwaka Jana ndo hizo hizo za Jana ameshinda!Acheni Utani Bwana!!!!
 

Ovyoooo mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…