Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,296
- 3,398
Mimi niwe muwazi, sina shida na tuzo za Ali, ila KTMA kosa dogo walilolifanya ni kutoa tuzo ya mtumbuizaji bora kwa Ali. Watu wanaweza kuhisi kuwa Ali kabebwa lakini ukiangalia kwa mbali ni kama wamemhujumu Ali kwa kumpa tuzo hii.
Ni kupoteza sifa na ubora wa tuzo kwa kufanya maamuzi ambayo hata wewe mfanyaji unakosa ground. Anaweza akapandishwa kwa muda mfupi lakini umma unaweza ukachukia kwa muda mrefu.
Nilikaa Uganda kwa muda, nakumbuka kulikuwa na mchuano mkali kati ya Chameleon na Babe Cool, media zilimpandisha babecool kama jitihada za kumshusha Chameleon. Lakini tofauti na wenzetu, wao matumizi ya akili huweka mbele sana, walikataa baadhi ya mambo kama huu upuuzi uliofanywa hapa openly.
Anyway, nchi yenyewe wasomi tupo wachache just 3% na manunda, mbumbumbu yaliyokimbia shule ndo yametangulia kwenye entertainment industry na michezo ndo maana hatuendelei.
sio michezo na entairnment tu,akili ndogo zinaongoza akili kubwa tz katika kila sekta bongo afya,kilimo,siasa elimU, n.k