Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

Hawa wanaoshikilia kusema mlipiga kura wana maana gani kwani tuzo mbili kapataje kama hakuna aliepiga kura au watu walivote category mbili tu hii nchi balaa alieturoga kafia wapi sijui mana nahis Hata alipozikwa hapajulikan tukaombe msamaha
 
Mleta mada nenda katafute mwanaume akupumilie kisogoni ili upunguze jazba hizo.

Kwa mara ya kwanza KTMA wamefanya maamuzi sahihi katika kutoa tuzo.

Hahahahaaa, dah! Nimecheka sana.
 
#niffah .... Yani from today mimi ni team kibaaaa...

Hehee watu waacheeee dharau, dharau dharau mbayaaa.. Huu ni mwanzo tu.

You are welcome my dear, nafurahi kusikia hivi.
Usiwasikilize hao maneno matupu, huku ndio mpango mzima.
 
Jamani nisamehe tu geniveros. Kwa furaha ya jana kwani nilikua nakumbuka kitu basi?
Acha tu.
 
Tumpende diamond kwa lipi na manyimbo yake ya kinigeria,tunamsubilia diamond atusue kimataifa akiwa mwenyew sio kubebwa bebwa na akina iyanya,

kweli mkuu diamond bila davido asingefika alipo sasa kimataifa ila dogo ana dharau sana.
 

Attachments

  • 1434287338359.jpg
    1434287338359.jpg
    28.7 KB · Views: 190
Jamani naomba kuelimishwa huyu ndio FAIZA FOXY au hawa Faiza wapo wawili naomba mnijuze jamani mbona FAIZA FOXY anavaa hivi haoni kwamba anakidharirisha chama chake.kwa uvaaji huu na apigwe ban nashauri

Ina maana wewe humu duniani unamjua faiza foxy pekee??
 
Last edited by a moderator:
Acheni timu zisizokua na maana mtawapoteza hao wasanii..

Ali Kiba anafurahia sana hili bifu maana linamlipa ila atambue Dai akishuka yeye atapotea Kabisaa kwenye game.

Ray alianzisha ligi na Kanumba. Matokeo mnayaona sasa.

Tuache ushabiki #team_sapoti_mzikimzuri

Watu wenye mawazo mgando kama nyie ndio mnaopoteza heshima ya JF hadi kunakua hakuna tofauti na Facebook.
Wakati Ali Kiba anatoka alikua anategemea bifu na nani ili awe juu?
Na hata alivyokua juu alikua anamtegemea nani?
Kiba hamtegemei mtu bali kipaji chake na sauti yake nzuri aliyojaaliwa tu.Ule ni mgodi unaotembea, tena mkome kumshindanisha na waimba taarab.
 
********

Kupiga kura
Diamond Platnumz kategori 3 (tatu) - Best MALE, Best COLLABORATION na Best LIVE and Vanessa 1(moja) -- Best FEMALE

ingia kwa link hii chini

http://mama.mtv.com/voting/


Bonyeza bonyeza VOTE usichoke

******************
 
Yaani Christian bella the king meloadvocalist, amekosa tuzo ni wakati sasa Tushirikiane tupase sauti zetu zisikike huko BASATA.
 
Watu wenye mawazo mgando kama nyie ndio mnaopoteza heshima ya JF hadi kunakua hakuna tofauti na Facebook.
Wakati Ali Kiba anatoka alikua anategemea bifu na nani ili awe juu?
Na hata alivyokua juu alikua anamtegemea nani?
Kiba hamtegemei mtu bali kipaji chake na sauti yake nzuri aliyojaaliwa tu.Ule ni mgodi unaotembea, tena mkome kumshindanisha na waimba taarab.

Wewe ndio hujui impact ya diamond kwenye mafanikio ya Kiba but yeye anajua na hata ukisema wapatane leo atasita kwa maana bifu linamtoa zaidi..

Namkubali Kiba tangu enzi na enzi na sina timu kwenye muziki bali nasimamia ninachokiona. Lakini namkumbusha tu Watz siku zote ukiwa juu wanakutafutia sababu ushuke ndio mana hatufiki mbali..
 
attachment.php


Hatimaye ule ukweli umejulikana sasa.

Cha muhimu tuendelee kupiga kura kwenye tunzo za MTV..Piga mpaka mara 20 kwa siku

10426146_1594992817418922_4495586282279165577_n.jpg



  • Kupiga kura
    Diamond Platnumz kategori 3 (tatu) - Best MALE, Best COLLABORATION na Best LIVE and Vanessa 1(moja) -- Best FEMALE

    ingia kwa link hii chini

    http://mama.mtv.com/voting/


    Bonyeza bonyeza VOTE usichoke​



 
Kwani tunzo ya mtumbuizaji bora ilikuwa ni ya nani? Hao kill basi wamewahujumu pia barnaba na Christian bella
 
Back
Top Bottom