Wild sniper
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 4,399
- 8,629
Hahahahaaa, umeua mkuu.Itabidi umtungie King wimbo mmoja matata maana naona una kipaji kizuri sana cha kutunga.
Tumpende diamond kwa lipi na manyimbo yake ya kinigeria,tunamsubilia diamond atusue kimataifa akiwa mwenyew sio kubebwa bebwa na akina iyanya,
Hivi halukuwa na walinzi?
Jamani naomba kuelimishwa huyu ndio FAIZA FOXY au hawa Faiza wapo wawili naomba mnijuze jamani mbona FAIZA FOXY anavaa hivi haoni kwamba anakidharirisha chama chake.kwa uvaaji huu na apigwe ban nashauri
Acheni timu zisizokua na maana mtawapoteza hao wasanii..
Ali Kiba anafurahia sana hili bifu maana linamlipa ila atambue Dai akishuka yeye atapotea Kabisaa kwenye game.
Ray alianzisha ligi na Kanumba. Matokeo mnayaona sasa.
Tuache ushabiki #team_sapoti_mzikimzuri
Watu wenye mawazo mgando kama nyie ndio mnaopoteza heshima ya JF hadi kunakua hakuna tofauti na Facebook.
Wakati Ali Kiba anatoka alikua anategemea bifu na nani ili awe juu?
Na hata alivyokua juu alikua anamtegemea nani?
Kiba hamtegemei mtu bali kipaji chake na sauti yake nzuri aliyojaaliwa tu.Ule ni mgodi unaotembea, tena mkome kumshindanisha na waimba taarab.
Hatimaye ule ukweli umejulikana sasa.