Unajua kuna watu wanakosa hekima katika kufikir nakuchambua mambo,gharama za democrasia ndo kama hizi,wengi wanapewa na ndo washindi...iwe hujakubaliana na hizo tuzo kupewa kiba ingekupasa upige kura nakuhamasisha wengine wapige kura,wewe ukiwa ni mmoja wa washabiki wa dimond...wakat kiba anahamasisha apigiwe kura,wengine mlikuwa wapi??2010 kwenye soka kila mtu alijua ni sneider au iniesta anabeba tuzo ya mchezaji bora wa dunia,ila ikaenda kwa messi...kura ndo ziliamua japokuwa wengi sana walisema iniesta alistahili...hizi ndo gharama za democrasia ya kura,wanaopiga kura ndo wanaamua,na kupingana nao wewe kama kiongozi nikukosa akili ya kawaida kabisa,kwa sababu kama wakat mnaweka utaratibu uwe nikupiga kura,yeye hakujua hilo...ni upuuzi sana,na hata huyo kubwa jinga le mutuzi anakosa hekima...mwaka 2010 wengi waliamini na bado wanaamini Dr.slaa alistahili kuwa rais kutokana na ubora wake,ila chama chake cha ccm kikashinda kwa idadi ya kura..je nao waliiba??au tume ilichakachua??akiwa anazungumza awe na kumbukumbu,ukubwa wa mwili usiponze kichwa...