Aston Barlet
Member
- Jun 10, 2015
- 5
- 1
Kuna watu wanaamini kabisa huu upuuzi!!!!tafuteni njia nyingine ya kujifariji jamani.
Le mutuz tangu lini aliwahi kuwa na akili?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna watu wanaamini kabisa huu upuuzi!!!!tafuteni njia nyingine ya kujifariji jamani.
Aibu yao KTMA.
Jamani hiyo ni "FAKE PAGE"...na hiyo habari inaenea kwa kasi sana mitandaoni,Ok!..nahii inaonyesha ni jinsi gani " team diamond " hawakubali ukweli hadi kutengeneza account fake,tujikumbushe ya wahenga "ASIYEKUBALI KUSHINDWA SI MSHINDANI"
View attachment 260158View attachment 260158
Na hiyo apo juu ndo official page ya KTMA2015... Dah!..kweli binadamu hatareee maana hata logo za TBL hazifanani kabisa hapo,viva kingkiba!!!!!

Kwani meneja wa TBL ndio aliyepiga kura au ndiye mwenye mamlaka ya kutuchagulia msanii bora? Stupddd
Mtalia sana mwaka huu.
Aibu ya mwaka hii, ata wakiondoa post ukweli umeshajulikana dunia nzima sasa.
Ruta kusema kweli kuna baadhi ya watu ujinga umezidi,yaani le mutuz ni boooonge la boya,yaani kilimanjaro na wasomi wote wale eti wajiharibie kuweka post kama ile?Yani watanzania bwana..Mimi pamoja kuna tunzo zijakubaliana nayo lakini ni aibu kufikiri KILL wanaweza wakatoa tamko la namna hiyo tena kwenye mitandao!
Uhitaji akili nyingi kujua hiyo ni Account fake kabisa na kimsingi Kill hawawezi kutoa tamko la namna hiyo na kimsingi wao ni wadhamini wa tunzo tuu kama wakutoa tamko hilo wangekuwa ni Basata na wala si kwenye mitandao!
Hivi jamani kwa ikili ndogo tuu mnafikiri taasisi na kampuni kubwa kama hiyo itoe tamko kama hilo kwenye mtandoa?
Yaani le mutuz ndo kadhihirisha u boya wake,aibuuuuu,kili kampuni kubwa ile imesheheni wasomi wenye experience na PR,wafanye upu mbavu kama ule?le tumboz kwa akili yake kabisa anakimbilia insta kujisifu eti kili wametuma post kama ile,.aaaaaggggggggrrrNawashangaa wanavyojitoa fahamu.
Khantwe nmekumiss ujue...basi tu najikaza.
Nipo ndugu yangu..nilibanwa na jukumu fulani but sasa narudi. Mzima lakini kaka.
Mimi leo nimevote for davido,vanessa,sauti sol,na flavor pale kwenye category ya utumbuizaji,jana nimevote sana for diamond,ila leo niliposoma post za zari anatuponda watanzania tuache makelele kuwa wao wamezoea kimataifa zaidi,nikaapa i will never vote for Diamond again.kwanza wakipataga tuzo badala ya kufurahi na wao ni kuwaponda tu wengine live.Hahahahaaa! Mkuu utauwa watu ujue?
Mbona unareply kwa panic Sana, wew bila kutumia maneno ya kejeli huelewiki au.?
Tumia maneno ya kawaida nitakuelewa tuu.( shenz typ, kujamba) what for ?
Good question. They all know that Global Publishers na other magazeti ya udaku rarely write true stories. Most of what they write is a hear-say or poorly interpreted social media posts. But once what is written is against Diamond or even remotely portrays him in a negative way...bum it is then gospel truth. I just wish some people would be honest enough to just say why exactly they don't like Diamond.