Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

Angalia vizuri hiyo ni twitter account...original Facebook account ndio imetumika...hakuna cha fake account hapo
 
Hahahahaaa, matumbo anatamani kufuta post, sipati picha kwa lile TUTUSA kule instagram naona litafuta ile post sasa hivi!
 
Angalia vizuri hiyo ni twitter account...original Facebook account ndio imetumika...hakuna cha fake account hapo

Kwahiyo mkuu na wewe unaamini hiyo ni officially Kili Music Page yao ya Facebook kweli? Huo uandishi tu unatia shaka.
 
Yani watanzania bwana..Mimi pamoja kuna tunzo zijakubaliana nayo lakini ni aibu kufikiri KILL wanaweza wakatoa tamko la namna hiyo tena kwenye mitandao!

Uhitaji akili nyingi kujua hiyo ni Account fake kabisa na kimsingi Kill hawawezi kutoa tamko la namna hiyo na kimsingi wao ni wadhamini wa tunzo tuu kama wakutoa tamko hilo wangekuwa ni Basata na wala si kwenye mitandao!

Hivi jamani kwa ikili ndogo tuu mnafikiri taasisi na kampuni kubwa kama hiyo itoe tamko kama hilo kwenye mtandoa?
 
Hey waiter! niongezee nyengine ya baridi na chair fire nusu usisahau na pilipili nyingi na kachumbari bila kusahau mchicha kabla sijaanza kupitia hii sred inaonesha pana habari njema hapa. Mwaka huu rangi zote zinaanza kuonekana.

hhhhaahhha mpk chanikiwitii ...
 
attachment.php


Hatimaye ule ukweli umejulikana sasa.

Cha muhimu tuendelee kupiga kura kwenye tunzo za MTV..Piga mpaka mara 20 kwa siku

10426146_1594992817418922_4495586282279165577_n.jpg



  • Kupiga kura
    Diamond Platnumz kategori 3 (tatu) - Best MALE, Best COLLABORATION na Best LIVE and Vanessa 1(moja) -- Best FEMALE

    ingia kwa link hii chini

    MAMA 2015


    Bonyeza bonyeza VOTE usichoke​



Kuna watu wanaamini kabisa huu upuuzi!!!!tafuteni njia nyingine ya kujifariji jamani.
 
pale ulijamba tu wala sijaona fact yoyote mkuu sana sana ulitaka labda tujue na we upo nje nyangema wee


Mbona unareply kwa panic Sana, wew bila kutumia maneno ya kejeli huelewiki au.?

Tumia maneno ya kawaida nitakuelewa tuu.( shenz typ, kujamba) what for ?
 
Unajua kuna watu wanakosa hekima katika kufikir nakuchambua mambo,gharama za democrasia ndo kama hizi,wengi wanapewa na ndo washindi...iwe hujakubaliana na hizo tuzo kupewa kiba ingekupasa upige kura nakuhamasisha wengine wapige kura,wewe ukiwa ni mmoja wa washabiki wa dimond...wakat kiba anahamasisha apigiwe kura,wengine mlikuwa wapi??2010 kwenye soka kila mtu alijua ni sneider au iniesta anabeba tuzo ya mchezaji bora wa dunia,ila ikaenda kwa messi...kura ndo ziliamua japokuwa wengi sana walisema iniesta alistahili...hizi ndo gharama za democrasia ya kura,wanaopiga kura ndo wanaamua,na kupingana nao wewe kama kiongozi nikukosa akili ya kawaida kabisa,kwa sababu kama wakat mnaweka utaratibu uwe nikupiga kura,yeye hakujua hilo...ni upuuzi sana,na hata huyo kubwa jinga le mutuzi anakosa hekima...mwaka 2010 wengi waliamini na bado wanaamini Dr.slaa alistahili kuwa rais kutokana na ubora wake,ila chama chake cha ccm kikashinda kwa idadi ya kura..je nao waliiba??au tume ilichakachua??akiwa anazungumza awe na kumbukumbu,ukubwa wa mwili usiponze kichwa...
 
Ukweli wa tuzo za KTMA2015 ni mchungu kwa "team diamond" na cha kusikitisha wanasingizia KTMA wamekanusha ushindi wa tuzo ya mtuimbizaji bora kwa alikiba,kitu ambacho Si cha kweli hasa kwa taasisi kubwa kama ile hata kama kuna makosa yalifanyika kweli,na iyo account ni "team diamond" ambao hawakubali ukweli hadi sasa,mkuu RUTTASHOBOLWA upo sahihii kabisa,yani hata ukiangalia tu LOGO ya TBL katika page ya lemutuz ni tofauti kabisa na wanayotumia KTMA2015,naamini ukweli umeonekana.
 
Kwa kweli tuwapongeze waandaaji wa Kili kwa kukiri kuteleza. Ukweli sasa umejulikana kumbe michezo michafu ilikuwa inaendelea. Safi sana.
 
Jee aliyatamka hayo maneno mwenyewe ama yaliandikwa tu kwenye magazeti?

Good question. They all know that Global Publishers na other magazeti ya udaku rarely write true stories. Most of what they write is hear-say or poorly interpreted social media posts. But once what is written is against Diamond or even remotely portrays him in a negative way...bum it is then gospel truth. I just wish some people would be honest enough to just say why exactly they don't like Diamond.
 
Back
Top Bottom