Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

Hamna akili nyie wajinga kweli,hiyo page ni verified?acheni ujuha mnatia aibu,kili siyo wajinga kama nyie ,hata kama kuna sarakasi hawawezi fanya ujinga kama huo hapo kuandika facebook
 

Mbona Juzi au jana haukuiita feki?

Kuna ya kinywaji na mengineyo wanayosapoti ki usaniiii



Mwisho wa siku sherekeheni basi muache wasanii wengine nao wapumue
 
Kwani meneja wa TBL ndio aliyepiga kura au ndiye mwenye mamlaka ya kutuchagulia msanii bora? Stupddd

Mtalia sana mwaka huu.

Your vote only count for the 40%, the 60% came from the judges. Do you get it now? In short it was not just your vote that was going to make a nominee win.
 
Hamna akili nyie wajinga kweli,hiyo page ni verified?acheni ujuha mnatia aibu,kili siyo wajinga kama nyie ,hata kama kuna sarakasi hawawezi fanya ujinga kama huo hapo kuandika facebook

Nawashangaa wanavyojitoa fahamu.
 
Ruta kusema kweli kuna baadhi ya watu ujinga umezidi,yaani le mutuz ni boooonge la boya,yaani kilimanjaro na wasomi wote wale eti wajiharibie kuweka post kama ile?
 
Nawashangaa wanavyojitoa fahamu.
Yaani le mutuz ndo kadhihirisha u boya wake,aibuuuuu,kili kampuni kubwa ile imesheheni wasomi wenye experience na PR,wafanye upu mbavu kama ule?le tumboz kwa akili yake kabisa anakimbilia insta kujisifu eti kili wametuma post kama ile,.aaaaaggggggggrrr
 
Hahahahaaa! Mkuu utauwa watu ujue?
Mimi leo nimevote for davido,vanessa,sauti sol,na flavor pale kwenye category ya utumbuizaji,jana nimevote sana for diamond,ila leo niliposoma post za zari anatuponda watanzania tuache makelele kuwa wao wamezoea kimataifa zaidi,nikaapa i will never vote for Diamond again.kwanza wakipataga tuzo badala ya kufurahi na wao ni kuwaponda tu wengine live.
 
Sio wameiondoa post wewe matumbo,yani hawajawai na hawatokuja kupost utumbo kama huo aliotungwa na huyo lemutuz ambaye ameshagundua kwa sasa "team diamond" mnastress za tuzo hivyo anajua akituma kitu chochote cha kiba mtampa attention kubwa,hahaha!!!..pia ukisema "UNASHUKURU KWA KUGUNDUA MICHEZO MICHAFU PALE KTMA"... ni wazi unatuaminisha watanzania kwamba hata diamond alipata tuzo 7 mwaka Jana kupitia huo huo mchezo mchafu sio?.. Dah!..ukweli mchugu sana kwenu leo.
 
Mbona unareply kwa panic Sana, wew bila kutumia maneno ya kejeli huelewiki au.?

Tumia maneno ya kawaida nitakuelewa tuu.( shenz typ, kujamba) what for ?

Hujawazoea hao tu mkuu? Matusi ndio zao na hivi wamechanganyikiwa basi hatariiii.
 

are u tanzanian or a british ila diomond hakustahili hata hizo mbili ni huruma tu
 
Mm nashangaa sana kwani team ikichukuwa kombe la Tanzania bara na atakae chukuwa kombe la clabu bingwa bara Africa team ipi inaheshimika? Majibu mmnayo wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…