Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

Ndiyo maana akina Kiranga na FREEideas huwa wanahoji sana uhalisia wa huyu mungu!!

hakuna anayejua uhalisia wa Mungu.
kumshukuru Mungu kimzahamzaha hizo shukrani zinaenda kwa shetani,though neema ya Mungu ni nyingi bado anawasaidia licha ya wao kufanya yasiyompendeza.
 
Last edited by a moderator:
Majuzi nimeshuhudia wasanii karibia wote wakimtaja mungu kwa kuwajalia kutwaaa hizo tuzo na kwa vipaji alivyowapa!

Sasa ukiwaangalia wasanii wengine wamevaa mavazi ya ajabu ajabu na hata nyimbo zao nyingi ni za kusifu ngono, bangi na pombe!!

Sasa ninachojiuliza ni mungu yupi huyu anayegawa vipaji ili watu wasifie vile anavyovikataza?

Mungu is an euphemism for the unknown, crazy circumstances, dumb luck, that which shall forever remain nameless, a filler to court the appearance of culture and a pious touch, the novelty of an unkown sublime bliss, the universal elephant in the room, irrationally inspiring fantasy, et cetera, et cetera.
 
Mkuu nasikia kuna mmoja alifutiwa voko yake kwenye nyimbo ya mmoja kati ya hao ndio chanzo cha ugomvi huu


Tena hii hapa chin

Watch "ALI KIBA: DIAMOND ALIFUTA MISTARI YANGU KATIKA WIMBO WAKE" on YouTube - https://www.youtube.com/watch?v=ZGcfW7Er0KI&feature=youtube_gdata_player

hii ya kufuta mistari interview ya 3 kiba anaiongelea tena miaka miwili mbele kwann hajaongelea kabla ya diamond kuwa international? Halafu mbona ye analaumu tuu mwenzake akihojiwa anajibu poa tu tena anatoa sababu tofauti.

My take:

Jamaa anakipaji ila anashindwa akifanyie nn kwa level ya kiba sio wa kukaa kimya mda mrefu kurudi kulala mikia mistari yake kufutwa kwan mtu akiona hajapendezwa nayo si anafuta tu mbona diamond karekodi na kina p square kwanini hawalalamiki?

Ameachia nyimbo na mr flavor badala alioimba nao? Au alitaka kufanya kama kina 50 na kanye kurudi kibifu mtengeneze pesa ila mashabiki wetu sisi wa Kitz hawayawezi, matokeo yake wanaharibu umoja wa mashabiki or roho inamuuma.

Ile levo ya dimond alitakiwa awe yeye kwa uwezo wa kiba sio wa kurudi na kulalamikia mistari wakati anakipaji kikubwa tu.
 
Ucwe na mawazo hayo Jack yoyote anaweza kupeperusha bendera hapa...kinachoangusha mziki wetu ni dharau tu na ubinafsi
Ubinafsi na dharau uko sehemu zote duniani- swala ni Kiba anaweza kuvaa viatu vya Daimond katika stage za juu???? VIWANGO anavyo ???
 
Waberoya Watu wenye AKILI KUBWA kama wewe sijui hua mnajificha wapi! Sidhani kama kuna atakayethubutu kupingana na wewe.
 
Last edited by a moderator:
Team Dimond vs Team Kiba.
Sema wakizitumia vzr hizi team ushindani utakuwa mzuri.
 
Ms.Lincoln Hebu kwanza ntake radhi kubwa kwa kunisingiza namchukia kiba wakati kwa sasa nyimbo nn nsikiliza kwa sasa ni 3, cheketua(sio yote napenda inavoanza) nana na kiboko yangu, napenda sauti ya ally k ila kwenye utumbuizaji nampenda dai zaidi mi sio memba wa team yeyote, heri unitukane hata ya nguoni ila usiniite team.

Back to topic: umeona nilichomquote cute b??? Kapost kuwa dai sio mzalendo coz yuko na Mganda. Sasa kumbe si kuwa hamshabikii kimuziki ila ni kwa mambo ya kimapenzi kwa maana hiyo anaeza kua shabiki wake namba moja endapo mti utahusika either kwake, kwa wema, au kwa mtz n.k si eti shost cute b
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha ha hatari....kama hawezi shukuru kwa hcho kidogo ndo atashukuru kwa kikubwa?

Hapo sasa.Kiba ni mstaarabu na ana busara sana, pongezi kwa mama yake kwa malezi yake ambayo leo hii tunajivunia kwa kuwa mashabiki wa mwanae.
 
Your right kiongozi we are not getting any where by doing this, hawa watu wawili ni moja ya icon zetu hapa Tanzania za kujivunia and so their well being ndio afya ya mziki wetu,but who will do the reconciliation hapo ndio pagumu
 
Evelyn SaltHamna ni comment ya mtu ile sasa na mimi nikauliza kama mnasema tukubali vya ndani tusishabikie vya nje mbona yey kaacha wadada ndani akaenda nje maana yake vitu vya nje ndo vina perfom vyema.
 
Last edited by a moderator:
acheni majungu, ufitna na uhasama.endeleeni kujenga hoja ili wasanie wetu waweze kuendelea juu zaidi na Tuwaheshimu ili waweze kutuwakilisha vizuri zaidi.
 
Women's lie men's lie Numbers don't in Jay Z 's voice hahah
 

Attachments

  • 1434365459313.jpg
    1434365459313.jpg
    22.1 KB · Views: 202
Aisee Watu bhana wanaweza kukushusha kwa makusudi maringo sio mazuri, kijana ni mkali na mijamaa nayo ni mikali kwa ukatili wa maksudi.
 
Huwa Nasema siku zote sie wa Tz moja ya kikwazo kikubwa sana kilichotukwamisha hadi leo katika mambo mengi ni kutopenda ukweli,ama ndio huwa tuna wivu 'automatic'kuona mtu anapata mafanikio huwa wengi humpinga!na hasa akiwa mbongo!mfano mmoja tu ni kama ilivyokua kwa marehemu Steven Kanumba kuna kundi kubwa la watu hawakumkubali mpaka kuna clip akihojiwa na michuzi baada ya kutoka south afrika alikua akiongea huku akilengwa na machozi juu ya shutuma nyingi alizopata toka kwa wabongo...lakini siku alipofariki tuliona kilichotokea anyway tuache hilo.Mimi si mshabiki wa Diamond na wala si kama namchukia Kiba kiba namkubali sana kwa kiwango chake yupo vizuri...na ni mkongwe....ila Katika tuzo hizi nilitegemea Msanii Naseeb'Diamond'kuondoka na wingi wa tuzo ikilinganishwa na juhudi,kazi zake na hata tu ubora wake ndani na nje ya mipaka ya Tanzania ikiwa pamoja na uwakilishi wetu watanzania katika uwanja wa burudani,sio siri huyu dogo kafanya makubwa sana lakini kwa kuaimebidi tu mambo kwenda kibongobongo ndio unabaki kushangaa tu kwa Yeye kuzoa tuzo kijuchu na si yeye tu msanii kama Christian bella alistahili zaidi ya tuzo lakini sikuona amepata chochote japo nyimbo mfano "Nani kama Mama" ilistahili kuchukua category ya wimbo bora wa mwaka na huwezi kulinganisha nguvu yake na hiyo ilochaguliwa,hili nalo limenishangaza mpaka nikajiuliza Kweli Jose Mara ni Zaidi ya Christian bella?hivi ni kweli?anyway wa tz tupende ukweli itatusaidia ktk mengi sana...ukweli ukweli ukweli..
 
Hii tabia ya kumchukia mtu aliyefanikiwa na kutaka ashuke cjui watz wanaitoaga wap....ni wivu au kitu gan.

Hiv katika suala la tuzo unapiga kura kwa ajil ya ushabik au timu flan kwel

Asa hawa ndio kiba kapata, na diamond kakosa, then mnafaidika nin?

Nakuhakikishia mkuu kwa hali hii hatuji kupata wasanii wa kimataifa hata watano.

Je angepata Diamond na Kiba akakosa then ungefaidika nini?
 
Kweli Tanzania kuna vilaza. Habari za Global ndo zakuja kaundika humu duh. Diamond hawezi sema maneno hayo wakat kwenye sporah show alisema katka wanawake aliohisi kuwaumiza na anajuta ni Jokate leo amuite makombo"never. WatchWatUsay
 
Hivi ni lini Diamond aliongea hayo maneno? Diamond hakuwai kusema hayo maneno bali yamesemwa na GPL!

Acha na vilaza hawa mkuu" wanaandika habar za GPL kampuni inayo survive kwa story za kutunga. Nashukuru maisha yng yote cjawah nunua gazeti la GPL. Nonsense
 
Back
Top Bottom