Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

Chibu anastahili kupewa tuzo za kimataifa kwa Sababu ndio level yake kwa sasa za mama ntilie uswahilini Huko zina wenyewe waliorundikiwa
 
Majuzi nimeshuhudia wasanii karibia wote wakimtaja mungu kwa kuwajalia kutwaaa hizo tuzo na kwa vipaji alivyowapa!

Sasa ukiwaangalia wasanii wengine wamevaa mavazi ya ajabu ajabu na hata nyimbo zao nyingi ni za kusifu ngono, bangi na pombe!!

Sasa ninachojiuliza ni mungu yupi huyu anayegawa vipaji ili watu wasifie vile anavyovikataza?
 
Kwa jinsi nilivyofuatilia ili bifu naona kabisa kiba na wasanii wengine ndio wanatengeneza mabifu ila Chibu yuko kimya na kama unabisha msikie dudu baya apa nn alosema

Watch "Dudubaya kuhusu Wasanii wa bongo wanaotembea na bodyguards, Ali Kiba na Diamond, kulogana na mengine" on YouTube -
 
Last edited by a moderator:
Hivi hata wanasiasa wanamtaja mungu yupi mkuu

navyojua mm mungu ni wawote wenye miili kama vitabu vinavyo sema

sisi wakristo tunakuamini yetu alikuja kwa wenye dhambi
 
Nitoe mawazo yangu. Mimi sina timu sio Kiba wala Diamond ila sioni ajabu yoyote Kiba kuchukua hizo tuzo alizochukua na Diamond kuchukua hizo alizochukua.

Tunatakiwa kuwa objective and fair kwenye kuchambua haya mambo na kuacha ushabiki usiosaidia upande wowote. Miaka miwili iliyopita Diamond alikuwa juu kwenye hizi tuzo na alitisha sana tu hilo halina ubishi. Diamond kaenda next level kwenye mafanikio na kuendelea kuchukua tuzo za kimataifa which is good kwake yeye binafsi na muziki wa Tanzania. Kwa maana hiyo sioni tatizo kwa Diamond kupata tuzo chache mwaka huu.

Kuhusu Kiba kuchukua tuzo nyingi mwaka huu kuna mambo mawili, moja Kiba ni mzuri na ame-advance kwenye muziki wake au baadhi ya washabiki wameamua kumpigia kura nyingi ili kumporomosha Diamond hasa hasa ninapofuatilia haya mambo ya timu fulani.

My take tukuze muziki wa Tanzania tuache kudondoshana hoja za kuwa Diamond anaringa au ana dharau au sijui kaachana na nani sio hoja za msingi. Hii tabia ya watanzania kutokutaka kuona mtu anakua na mafanikio na kuweza kuishi maisha yake binafsi ni mbaya na inaturudisha nyuma. We need to be fair watanzania tuna wivu na roho za chuki ambazo hazitusaidiii. Soon Kiba atakuwa na mafanikio halafu litaibuka tena kundi la kumponda ili kumshusha.

Mokoyo
 
Mokoyo Sijui kama wanawaza kama haya uwazayo wewe. Wenye muono wa mbali tu watakuelewa.
 
Last edited by a moderator:
Kama mlioona ama kuwepo tuzo za Kili, kuna aibu ya mwaka. Yani huhitaji kumjuza kila mtu kazigako kujiuza, huyu si mwingine ni aliyekuwa mzazi mwenziye Hon Mbilinyi aliweza kuacha makalio wazi. Kana kwamba yuko City Market akijinadi.
 
Zembwela ndo alinifurahisha zaid alivyoiweka kiutu uzima
 
Back
Top Bottom