Dupe
JF-Expert Member
- Jan 21, 2013
- 1,668
- 811
Kumbe wana bif,bif lao limeanzaje? Kuna moja kaibiwa mistari au?
Mkuu nasikia kuna mmoja alifutiwa voko yake kwenye nyimbo ya mmoja kati ya hao ndio chanzo cha ugomvi huu. Tena hii hapa chin
Watch "ALI KIBA: DIAMOND ALIFUTA MISTARI YANGU KATIKA WIMBO WAKE" on YouTube - https://www.youtube.com/watch?v=ZGcfW7Er0KI&feature=youtube_gdata_player[/QUOTE]