Majuzi nimeshuhudia wasanii karibia wote wakimtaja mungu kwa kuwajalia kutwaaa hizo tuzo na kwa vipaji alivyowapa!
Sasa ukiwaangalia wasanii wengine wamevaa mavazi ya ajabu ajabu na hata nyimbo zao nyingi ni za kusifu ngono, bangi na pombe!!
Sasa ninachojiuliza ni mungu yupi huyu anayegawa vipaji ili watu wasifie vile anavyovikataza?
Chibu anastahili kupewa tuzo za kimataifa kwa Sababu ndio level yake kwa sasa za mama ntilie uswahilini Huko zina wenyewe waliorundikiwa
Mkuu nasikia kuna mmoja alifutiwa voko yake kwenye nyimbo ya mmoja kati ya hao ndio chanzo cha ugomvi huu
Tena hii hapa chin
Watch "ALI KIBA: DIAMOND ALIFUTA MISTARI YANGU KATIKA WIMBO WAKE" on YouTube - https://www.youtube.com/watch?v=ZGcfW7Er0KI&feature=youtube_gdata_player
Ubinafsi na dharau uko sehemu zote duniani- swala ni Kiba anaweza kuvaa viatu vya Daimond katika stage za juu???? VIWANGO anavyo ???Ucwe na mawazo hayo Jack yoyote anaweza kupeperusha bendera hapa...kinachoangusha mziki wetu ni dharau tu na ubinafsi
Ha ha ha ha hatari....kama hawezi shukuru kwa hcho kidogo ndo atashukuru kwa kikubwa?
Hii tabia ya kumchukia mtu aliyefanikiwa na kutaka ashuke cjui watz wanaitoaga wap....ni wivu au kitu gan.
Hiv katika suala la tuzo unapiga kura kwa ajil ya ushabik au timu flan kwel
Asa hawa ndio kiba kapata, na diamond kakosa, then mnafaidika nin?
Nakuhakikishia mkuu kwa hali hii hatuji kupata wasanii wa kimataifa hata watano.
Hivi ni lini Diamond aliongea hayo maneno? Diamond hakuwai kusema hayo maneno bali yamesemwa na GPL!