Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015


Mkuu Tuzo alizopata Alikiba zinamstahili sana. Sema hawa mashabiki wa upande wa pili hawataki kukubali kwamba Kwa KTMA 2015 Kiba ni zaidi ya Diamond. Cha msingi Diamond atulie ajipange awe na nidhamu zaidi kimziki na kitabia, bado anayo nafasi ya kufanya vizuri next time. Alikiba alitulia akatafakari akatunga tungo safi akaimba vizuri sasa kashinda, aendelee hivyo hivyo.
 

hahaha kwahyo kama kamtoa amnyenyekee au?hatuangalii nani kawahi kutoka ila nani anajuhudi kiba katoka mda sana ila mbona mwenzake kafika mbali?tatzo ni uzembe na alitegemea angerudi diamond amuonyeshe channels watanzania tunapenda favors sna yani mtu kama ulimsaidia ndo akusujudie?mbona aliyeanza kuurecord wimbo wa kamwambie bob junior wapo pouwa tena soon wanatoa collabo?alafu kiba hana studio embu tuambie studio yake inaitwaje?jamaa anaimba sna kiba ila anataka spoon feeding ndo tatzo badala akatafute kwa juhudi
 
Hahahahaaa, mkuu kama huna roho ngumu huwezi haya mambo.
Hapa kuna watu tokea juzi hawaonekani, kisa.......
Hahaha

Kweli, aiseeee. Nan huyo anataka ubondia halaf anakimbia ngumi za usoni…?
 
Kweli ilibidi iwe hivyo ili naye akue kimataifa, hata hivyo katutumbuiza muda mrefu, naye ni mkali lakini uwezo wa kuuzika ulikuwa mgumu. Safari ijayo tutampaisha Dully sysks maana naye kafanya kazi muda mrefu. hapo ndipo utajua watu ni muhimu sana kuachana nadharau.
 
Nasikiliza XXL hapa fetty kwa Mdomo wake amesema hakubali tuzo ya Kiba as mtumbizaji bora Ingemfaa Diamond. Tune on XXL
 
Nasikiliza XXL hapa fetty kwa Mdomo wake amesema hakubali tuzo ya Kiba as mtumbizaji bora Ingemfaa Diamond. Tune on XXL
 
Evelyn SaltHamna ni comment ya mtu ile sasa na mimi nikauliza kama mnasema tukubali vya ndani tusishabikie vya nje mbona yey kaacha wadada ndani akaenda nje maana yake vitu vya nje ndo vina perfom vyema.
Ha ha ha kwa maana hiyo bado unaongelea performance ya kimapenzi lol jamani hizi chuki binafsi tuzieke tu kando ukinambia diamond hakufurahishi kwa uimbaji wake ntakubali, ukisema hupendi mavazi yake ntakubali nk nk kwasababu sio kila anachofanya kitamfurahisha Kila mtu BUT kumdis kwa sababu za kimapenzi I swear ni usengerema huwezi mpangia mtu awe na fulani!!awe na mganda awe na mkurya awe na mjaluo it's non of our fu*kn business
 
Nasikiliza XXL hapa fetty kwa Mdomo wake amesema hakubali tuzo ya Kiba as mtumbizaji bora Ingemfaa Diamond. Tune on XXL

Ivi mbona tunatafuta pa-kujishikia sana kwani akisema Fetty neno lake sheria aya yeye kasema ivyo ila wapiga kura wamesema Kiba simply hata watu wasemeje jamaa kakamata zake 5 na tusubiri next time tena hao watu wa media hasa clouds wana-engineer aya mambo kwa faida zao.
 

Yaah huwezi kumpangia mtu.
Sasa nyie team ndomo sisi tunavote fo davido mnatuandama nini?kila mtu na choice yake so tulizeni mishono
 
Mwenzako anaingiza pesa kupitia shows za kila siku. Wewe unaejidai timu wema hujui hata kula yako inafananaje...
 

Jamani nani kasoma ili gazeti ani summarizie?
 
kama diamond kakosa tuzo kwa sababu ya mdomo mchafu, japo yote ni ya uzushi tuuu, mara alisema hili mara lile, sasa je, barnaba au bell9 hao nao hukosa kwa sababu gani?? nao wana vyodo? au wanaskendo za wanawake?? kwa nini hamkuwapigia kura waliwakosea nini kwani? mtu huitaji akili kubwa sana kuona wazi kuwa hizi zote ni fitna tuu, na kwa sababu hakuna mwenye sababu ya msingi ya kumchukia dai basi mtakuja na sababu za ajabu ajabu kupitiliza.
 


weka link tupige kuraa wewee
 
Yaah huwezi kumpangia mtu.
Sasa nyie team ndomo sisi tunavote fo davido mnatuandama nini?kila mtu na choice yake so tulizeni mishono
Aseeee nitukane matusi yoooote unayoyajua ila usiniite TEAM mi sio memba wa team yoyote unayoyajua
Mbona unaruka ruksa kama popcorn sijaongea swala la davido wala sijakuambia umpigie kura dai, tunaongelea chuki binafsi tena zinazohusu kumchukia kisa yupo na fulani huko kwenye kura we hata ukiamua best male awe BAMBO that is non of my fu*kn business
 

Tulia bibie moja ikae mbili ikae.
Kama hujaongelea issue ya davido ungetuliza mshono coz comment niliyoitoa nilisema kwamba "mbona yeye anatoka na wa nje lakini sisi roho inawauma tukivote for davido? Ndo mazungumzo yalipoanzia upooo?
Sasa kwa kua ile comment ilimzungumzia davido na ndo chanzo cha mjadala wote huu y davido akae pembeni.
Stress za tuzo zinakutwanga tulia kunywa peps mimi na vote for Davido full stop.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…