Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Le Mutuzi ni bonge la kubwa jinga sijui lokoje,yaani miaka 30 ulaya halijawa civilized kabisa.Kila kitu yeye ni kimbele mbele tu
Tunzo za mwaka huu zitavunja record kwa kuto hudhuriwa na wasanii wengi na wengi wao watatuma wawakilishi!
Natamani hata KILL na Basata waachane na hizi tunzo maana watu wamezidi maneno ili tuone hizo tunzo ambazo zimekamilika....
Lile zee linang'ang'ania BASATA ndio wanaohujumu tuzo ili wamkomoe Diamond. Yule anatumiwa na habari zake ninazo zote, kama anajiamini alete hayo matamkoz yake huku aone.
Ikitokea mambo yakaenda ndivyo sivyo kutakuwa na mtafutano humu ndani balaa.Maana kuna miungu watu fulani wanaLIPIZA VISASI.Tunasubiria Maneno ya wakosaji
Alafu siku tukitaka ushahidi na hicho anachoita FACT WITH EVIDENCE ni full chenga. mara ohh! Ntatoa kwa wakati "Sijakamilisha ushahidi"
Hivi Kiba ameshatoka kwa Obama?Kiukweli tuzo za mwaka huu zitakua balaa.Hata mimi nina pressure hapa ya hatariiii...lol
Kuhusu wasanii kuna mmoja nahisi hatohudhuria.
Ikitokea mambo yakaenda ndivyo sivyo kutakuwa na mtafutano humu ndani balaa.Maana kuna miungu watu fulani wanaLIPIZA VISASI.
Kiukweli tuzo za mwaka huu zitakua balaa.Hata mimi nina pressure hapa ya hatariiii...lol
Kuhusu wasanii kuna mmoja nahisi hatohudhuria.
Navyojua wiki hii kapiga sana simu na kwenda live kumuona Kavishe ili tu apewe kadi,le tumboz bwanaHuyu jamaa alivyo mnafiki amekuwa wa kwanza kwenda kuchukua kadi za mualiko...
Navyojua wiki hii kapiga sana simu na kwenda live kumuona Kavishe ili tu apewe kadi,le tumboz bwana
#TEAM Diamond tutakuwa pamoja kuhakikisha uchakachuaji wa kupendeleana au kubebana tunaukemea...Kama kuna haki Diamond atatoka na tuzo nyingi kuliko msanii mwingine yoyote
Mmeshaanza sasa, kwani mtu kutoa shukrani kuna ubaya gani jamani?
Binadamu hatuna jema, asingeshukuru tungelalamika pia.