Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

Daaah huu wimbo wa barnaba na vanessa naupendaaaa
 
Huyu mpenzi wa sugu wa zamani hicho kivaziii balaaa kweli vichaa walipatana
 
Wasanii wa Tanzania wakiongeza kwenda nje hakika hizi KTMA zitakuwa nzuri zaidi ya hapa
 
Dem wa mh.Sugukazini
 

Attachments

  • 1434225342493.jpg
    63.6 KB · Views: 285
Mgonjwa Faiza mke wa Sugu nae katokelezea kwenye KTMA ..
 

Attachments

  • 1434225470237.jpg
    31.9 KB · Views: 359
Vanesa unajitaidi hongera sana ufike mbali zaidi utoboe ozone ya mbali zaidi
 
Ila dada fetty hata kahips ka kuzugia huna kha!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…