Kwa mtazamo wangu naona kiba na diamond wametoka suluhu kwa sababu huyu aliyeshinda video bora sidhani kama kuwa na video bora ndo kuimba nyimbo bora...miaka ya nyuma nyimbo ya mikasi ilikuwa nzuri sana ila video yake haikuwa nzuri hata kidgo...kwa hiyo kushinda video siyo kujua kutunga mistari mizuri...