Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

Hivi hawa mbwa wa ITV hawaoni sauti na picha yakatika sana. Yaani kama mazuzu
 
Hii tunzo ya mtunzi bora wa hip hop sio kweli kabisa..yani John makini hana uwezo wa kumzidi Fid q
 
JOH MAKINI acpochukua tuzo mwaka huu basi hatopata tena.
 
Nimemiss kicheko cha Fetty, bora wangempa Adam Mchomvu
 
Ila natamani Yamoto band wachukuwe tena,ila vanesa nae kaiimba vizuri
hapana vanessa kavuruunda,
yaani Bongo sijui tutafikia lini kuimba live,
kama umefuatilia vizuri back vocal na alichokua anaimba vilikua vinaachana,
Kuimba na kucheza si mchezo ni Bey tu wa Jigga ndo tumwachie,
 
Back
Top Bottom