Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

Ben Pol imba Sauti nzuri
Haya Tumsikilize Sofia
 
Joh Makini last year kapiga kazi, wacha wampe. Wampe pia tuzo ya msanii bora wa Hiphop, nilimpigia kura na pale

Yah Joh hz working harda bro. He deserve the award. Ndio msanii wa hip hop anayepiga show nyingi sana
 
hapana vanessa kavuruunda,
yaani Bongo sijui tutafikia lini kuimba live,
kama umefuatilia vizuri back vocal na alichokua anaimba vilikua vinaachana,
Kuimba na kucheza si mchezo ni Bey tu wa Jigga ndo tumwachie,

Beyonce na Chris Brown
 
Hizi team u.pu.pu zitawaua wabongo,
ushabiki wa kinafki na uliopitiliza sio mzuri,
KTMA 2015 imenikeera yaani kila tuzo watu wanachukuliana tu,
AAARRRRRRRRRRRRRRGGGGGGGHHHHHHHHHH
 
Mtangazaji mdada huyo ni kama anasikia baridi au anaogopa kitu na nguo aliyovaa au anaweka mapozi...bado namwangalia
 
Back
Top Bottom