Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

Nani kama mama is the best, ilistahili bt no way out, matokeo yashatoka n we have to respect...
 
Hivi hawa ma stage show wanaocheza Sofia na mpira imekaaje jamani???sijaelewa
 
Huyu Mgogo Ben Po kabore sana yani anaturudisha kwa kutulazimisha tuimbe pamoja, yy aimbe tukipata mzuka tutaimba nae!
 
Hizi team u.pu.pu zitawaua wabongo,
ushabiki wa kinafki na uliopitiliza sio mzuri,
KTMA 2015 imenikeera yaani kila tuzo watu wanachukuliana tu,
AAARRRRRRRRRRRRRRGGGGGGGHHHHHHHHHH
Hawajiamini wanaogopana kukutana ukumbini yaani ovyooo kabisa
 
Hizi team u.pu.pu zitawaua wabongo,
ushabiki wa kinafki na uliopitiliza sio mzuri,
KTMA 2015 imenikeera yaani kila tuzo watu wanachukuliana tu,
AAARRRRRRRRRRRRRRGGGGGGGHHHHHHHHHH

Timu upuuzi kweli kweli kuharibiana ndo sifa kuu. Wasanii wote wamekwepa kuhudhuria nidhamu za woga tu.
 
Back
Top Bottom