Huyu MC wa kiume haburudishi!
Nakuzimia....vibaya vibaya
Hamia Clouds Tv wanaonyesha vizuri
ITV ni Mbwaaaaa mnakata kata ya kazi gani
Ukiacha kuwa x wa sugu,ana title gani nyingine?
Tusifanye kwa mazoea jamani, Fid Q mwakajana ana nyimbo gani zaidi ya Bongo Hiphop?
hastahli, limebaki jina tu
Sophia kashakuwa na mimba saivi.
Anapiga show nyingi lakini si mtunzi bora wa hip hop hata siku moja!
Duh! Naona wamekukera kweli hao ITV.
Le mbebezz lazima alale na stress gunia.. Hahahaha
Nani kama mama is the best, ilistahili bt no way out, matokeo yashatoka n we have to respect...