Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

Wanaosema Fid kaonewa
Fid katoa nyimbo gani zilizohit?
Hiyo bongo hiphop video kama katengenezea bafuni.
Joh kafanya kazi kubwa sana Fid tatizo anajiona anajua ila mashabiki mwisho wa siku ndio wasikilizaji anatakiwa atunge kile ambacho sisi tukisikiliza tutampa yeye sapoti. Mtu hata show sijawahi sikia anatangaza sasa kwa nini ashinde hii tuzo
 
Last tuzozz Wema alipanda jukwaani kumtangaza Diamond, tena wakiwa wachumba. Mwaka mmoja baadae ni maadui wa kutupa..

Maisha yanaenda kasi sana..
 
jahaz modern taarab mpo juu kimuziki hata kill music wameliona hilo
big up mfalme mzee yussuf aka big dady
ni pambee tu
 

Bongo flavour ni mzuri ila hip pop we ndio my queen...
 
Heheee eti nao waunde timu zao hhhhhhaaaaaa,anaekerekwaaa ale malimauuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…