Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,548
- 63,038
Hahahahaaa, peace mkuu, wala siumwi usijali...
Usiku mwema.
Pouwa mkuu,
shemeji karudi nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahaaa, peace mkuu, wala siumwi usijali...
Usiku mwema.
Una jua sisi tupo jamvini kila siku tuna bishana but ukweli ni kua hizi team diamond na team kiba zina nguvu sana huku nje. mpaka wadau wakubwa wa muziki wana pata hofu ya kuto ikwaza team yoyote kati ya hizi.
Una jua sisi tupo jamvini kila siku tuna bishana but ukweli ni kua hizi team diamond na team kiba zina nguvu sana huku nje. mpaka wadau wakubwa wa muziki wana pata hofu ya kuto ikwaza team yoyote kati ya hizi.
Nimeona IG page ya Alikiba akiwashukuru mashabiki kwa kumpigia kura (siku 4 kabla) , hii confidence inamaanisha nini? Anyway tungojee kuona maajabu leo
Hayaaaaa, twende kazi.
Tusiache kuagana tu maana nahisi utakimbia!
Naungana na ww ktk maumivu yako...nimeumia Christian Bella kukosa tuzo...wimbo wake wa mama ulivuma mno na ni mzuri...
Live performance anaiwezeaa
Haya ndugu yangu tuwepo hadi mwisho bwanaaa.
Bora wamtaje Jux ili kuzima beef maana akiwa kiba au Diamond yaani sipati picha zile team wakiongozwa na le mutuz
Huna ukijuacho.. nnachokueleza ni kizuri kitakufaa hata katika maisha yako, jifunze kuwa kimya kwa jambo usilolijua.. utajifunza jambo ndani ya ukimya wako.
Huyo Joh Makini ni kwasababu ya 2.
1.Meneja wa TBL ni Mchagga,2.Arusha inaonekana wana kunywa sana Bia.3.ni Rafiki yake hakuna ambae hajui Hilo,Huyo JOH Makini jamani??????zero kabisa!
Anyway wao ndo wameandaa na wana influence nani ashinde Kaka!
Ndo Maana tuzo zimepoa sanaaaa
Fid q anajua, ila joh makin alipiga kazi, anajituma sana, ngosha ndio baba wa hip hop kibongo bongo bt kabweteka sana, hapigi internationally...
Hiyo ya ngosha sasa
Ngoja nikuepuke, naona utt mwingi.
Hahahahaaa!
Wanaosema Fid kaonewa
Fid katoa nyimbo gani zilizohit?
Hiyo bongo hiphop video kama katengenezea bafuni.
Joh kafanya kazi kubwa sana Fid tatizo anajiona anajua ila mashabiki mwisho wa siku ndio wasikilizaji anatakiwa atunge kile ambacho sisi tukisikiliza tutampa yeye sapoti. Mtu hata show sijawahi sikia anatangaza sasa kwa nini ashinde hii tuzo