Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

Una jua sisi tupo jamvini kila siku tuna bishana but ukweli ni kua hizi team diamond na team kiba zina nguvu sana huku nje. mpaka wadau wakubwa wa muziki wana pata hofu ya kuto ikwaza team yoyote kati ya hizi.

wanajua watapondwa mawe hhhhhaaaaaaaaaaaaaa
 
Una jua sisi tupo jamvini kila siku tuna bishana but ukweli ni kua hizi team diamond na team kiba zina nguvu sana huku nje. mpaka wadau wakubwa wa muziki wana pata hofu ya kuto ikwaza team yoyote kati ya hizi.

Ua correct aisee hizi timu zina influence kubwa hadi huku mitaani kwenye magroup ya Whatsap na mitandaoni. Naona wana balance equation hapo.
 
Naungana na ww ktk maumivu yako...nimeumia Christian Bella kukosa tuzo...wimbo wake wa mama ulivuma mno na ni mzuri...

Live performance anaiwezeaa

ULIPIGA KURAA? Demokrasia ina faida na HAsara,ndio mana kilwa kusini walimchagua mbunge ambae ni MTU wa kawaida,nakumuacha tajiri Madabida,ambae ni tajiri na MAARUFU,sasa hivi mwenyekiti CCM DSM
 
Fid q anajua, ila joh makin alipiga kazi, anajituma sana, ngosha ndio baba wa hip hop kibongo bongo bt kabweteka sana, hapigi internationally...
 
πŸ˜•πŸ˜•πŸ˜•malimao yanakuhusu mkuu
 
waambie chalii ya arusha imepiga kazi arifuu...

Game tait....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…