Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

alikiba 2 diamond 2 mwana fa ft aly kiba then prof jay ft diamond mmh leo naona tunabalance the equations hapa
 
Duh siamini leo wamemkumbuka legend. Hii yote kwasababu ya team, yaani mashabiki wa Diamond wamempigia tuzo Prof Jay teh teh. Pole Fid Q
 
Ila wanajitahid kubalance aisee ila itafahamika tuuu,,,,Jide wapii warumi umejifichaaa
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaaaaa mbona hii na nyie mniringia? Si mlisema sisi tunalilia tuzo ya FA?
 
Hii tuzo kwa professa naona wadau wanailalamikia sana kwa kweli.

Imeleta mushkeli hapa nilipo..:glasses-nerdy:
 
Hayaa sasaaa jux na Ben pol nani hapaaaaaaaaaa bell 9
 
shangaaa mbona kwenye mpira wana timu hatuwaingiiliii wakanye boga

Hahahahaaa, watutolee upuuzi wao hapa.
Tena wengine hawapendi hizi Simba na Yanga zetu na tunakaa kimya.
Watuacheee na teams zetu sie.
 
Hapa nilimpigia kura Belle 9 lakini hatashinda kama kawaida yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…