Angel Msoffe
JF-Expert Member
- Jun 21, 2011
- 6,781
- 1,647
All k Ina maana nyimbo ni mwana Tu????????
Kiba hizo nafasi zote kaingia kwa wimbo mmoja tu Mwana daresalam.?
Tuzo zimejaa uswahili
nami nashangaaaaa nyimbo moja Tu mwanaa
Tuzo zimejaa uswahili
tatizo watanzania tunapoona opportunity ambayo tunaweza elezea shida zetu na kusaidiwa huwa tunaambiwa hatupo serious. Mwanzisha thread kasema unaweza kuomba kwa watu wote unaofahamiana nao hata jf, facebook etc. Soma tena topic yake.
Hali hii inanifanya nizidi kumkubali Diamondnami nashangaaaaa nyimbo moja Tu mwanaa
nami nashangaaaaa nyimbo moja Tu mwanaa
Duu Fid ndio basi tena au kwa kuwa aliwapa makavu basata kwamba waliiba idea ya marehemu cool j mtoto wa dandu?