Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

Sio mbaya mwana kuwa Nyimbo bora ya mwaka. Anabahati Chibu hakuwepo kwenye hyo category.
 
Jamani akishinda fulani mwasema tuzo za kiswahili, kwahyo mlitaka ashinde nani? Kura mlipiga?
 
Jokate na lemutuz walivyo tokelezea..
 

Attachments

  • 1434230378168.jpg
    1434230378168.jpg
    29.4 KB · Views: 360
  • 1434230397268.jpg
    1434230397268.jpg
    22.6 KB · Views: 341
Kuna watu wanaonewa na wanaweza wakaacha ata kuimba kwenyewe pole belle9 kura zangu nilizokupigia zimeenda na maji
 
tatizo watanzania tunapoona opportunity ambayo tunaweza elezea shida zetu na kusaidiwa huwa tunaambiwa hatupo serious. Mwanzisha thread kasema unaweza kuomba kwa watu wote unaofahamiana nao hata jf, facebook etc. Soma tena topic yake.

Hahahahaaa, si nilisema nimeshikiliwa? Usiogope mkuu.
Thanks for caring thou...
Hii yako MEANDU.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom