Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

Kili katika ubora wake, hivi hawaoni aibu wakijilonganisha na MTV hiv, au CHANNEL O...

Naanza kuamin maneno ya le mutuz
 
Ivi hizi kura zinapigwaje mana mi naona pichapicha tu?
 

Hahahahaaa, wifi ana bahati leooo!..
 
Hapa mnaziponda baadaye mkichukua mnaanza kutambia, tatzo nyie wenzetu hamna mioyo, mbona sisi tuko poa tu
 
ni ipi labda??

Ngoma zke ngumu sana pia anacopy kwenye vitabu. Joh anaimba vitu simple ndo mana akitoa ngoma anaimba na mashabiki wke kwenye show rahs kuishika. cheki kama hapa wanavyokimbiza kwa stage
 
Jamani G Nako kapendezaaaaaa! Hongera kwao wote ila mimi G Nako kanikuna zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…