Halafu chaji simu mamiii...lol
Kafikia G spot.
Akiamka asubuhi mzee
Jamani G Nako kapendezaaaaaa! Hongera kwao wote ila mimi G Nako kanikuna zaidi.
Weusi wAnaweza....
Ngoma zke ngumu sana pia anacopy kwenye vitabu. Joh anaimba vitu simple ndo mana akitoa ngoma anaimba na mashabiki wke kwenye show rahs kuishika. cheki kama hapa wanavyokimbiza kwa stage
Kwa rahaaa ya leooo ilikuwaa napiga nonstop mpaka gari la fire liitweee ni rahaaaaaaaa