Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

KingKiba forever, chibu ye aende huko huko Nigeria akabebe tuzo za wajinga ila huku Tz tumeshaamka kila mtu kingKiba woyoooooooooooo
 
Suti na hip hop vinanoga kinoma alafu chini ukipiga all star au adidas. Ukivaa airmax ni konyo
 
Ngoma zke ngumu sana pia anacopy kwenye vitabu. Joh anaimba vitu simple ndo mana akitoa ngoma anaimba na mashabiki wke kwenye show rahs kuishika. cheki kama hapa wanavyokimbiza kwa stage

Sio siri weusi wako vizuri nyimbo zao. Na hazichoshi. Wako vizuri na Joh Makini kadi deserve sana tu.
 
Salute kwenu Weusi. Sherehe zikianzia Mlimani City kuelekea Ibiza
 
Back
Top Bottom