Jigga bwana
Davido
Tatizo kura mama
Je ulivote for Bella?
kuna hawa watoto wa kuitwa YAMOTO BAND hawajatendewa haki kabisa kwenye hizi tuzo
Wamepga show nzuri sana hafu kila wimbo wakitoa hunigusa vilivo. Sio kila kitu lazma tupishane aisee.
Salute kwenu Weusi. Sherehe zikianzia Mlimani City kuelekea Ibiza
Leta wewe mpenzi mimi niko huku leo tu.
Mwimbaji bora wa taarabu -: isha mashuzi
Omg ... Isha mashuuzii
Ni uamuzi wako
Ila mwambie kaka aache kupiga picha za kuomba kukaa first class kudanganya au kujipaisha. Apigir huko huko economy kwani kuna ubaya?
Tunajua hakuna kitu na afanye kazi, hizo tuzo haziji na pesa
Kufanya kazi ni kupata pesa kutengeneza maisha.
Wavotie na wengine wote, ukweli ni kuwa mnajua Diamond hamumufikiii hata kwa robo. Ciao
Isha mashuzi