Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

Ni uamuzi wako

Ila mwambie kaka aache kupiga picha za kuomba kukaa first class kudanganya au kujipaisha. Apigir huko huko economy kwani kuna ubaya?

Tunajua hakuna kitu na afanye kazi, hizo tuzo haziji na pesa

Kufanya kazi ni kupata pesa kutengeneza maisha.

Wavotie na wengine wote, ukweli ni kuwa mnajua Diamond hamumufikiii hata kwa robo. Ciao
 
Tatizo kura mama

Je ulivote for Bella?

kweli kabisa aiseee, hizi team ndio zimeyasababisha yote haya. ila me navyoona, mwakani huu ushabiki wa kiba na mond utakuwa umeshachuja, and people will be back into their senses na kufanya maamuzi ya busara zaidi.
 
Nimefurahi kwa Diamond kupokea hizo tuzo leo

Hongera sana Diamond kaza buti kijana

Ingiza pesa ingiza pesa
 
Ni uamuzi wako

Ila mwambie kaka aache kupiga picha za kuomba kukaa first class kudanganya au kujipaisha. Apigir huko huko economy kwani kuna ubaya?

Tunajua hakuna kitu na afanye kazi, hizo tuzo haziji na pesa

Kufanya kazi ni kupata pesa kutengeneza maisha.

Wavotie na wengine wote, ukweli ni kuwa mnajua Diamond hamumufikiii hata kwa robo. Ciao

Teh teh mbona umeongea kwa uchungu hivi mtoto mzuri??
 
Back
Top Bottom