mkweli wa mambo
JF-Expert Member
- Oct 28, 2013
- 329
- 180
Hahahahah mzee yusuph anawapa makavu laivu, wamebalance equation hahahahah
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mzee yusuph nilishakwambia uache ushoga, pokea tuzo usepe zako
Mimi ni meneja wake? Hebu toa ushamba wako hapa...
Hakika mkuu. Nimeshangaa sana Barnaba kukosa tuzo ya mtunzi bora.
Hivi hizi tuzo huchukua masaa 5? WTF!!
Teh teh mbona umeongea kwa uchungu hivi mtoto mzuri??
Yaani hizi timu ni hatari sana
Wataja kuwa kama mashabiki wa timu fulani wakajinyonge bure