mzurimie
JF-Expert Member
- Oct 16, 2011
- 6,143
- 3,625
Msiba wa nani?
Baba yake msanii Steve Nyerere, yeye kaombwa kuwa Mwenyekiti. kaandika wanazika kesho Kinondoni nadhani karusha instagram
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msiba wa nani?
utajiju na wivu korosho wa kulala bila kufanya kazi
********************
Kupiga kura Diamond Platnumz kategori 3, vanessa 1 ingia kwa link
MAMA 2015
Bonyeza bonyeza VOTE usichoke
******************
Hahaaaaaa ni shiiiiiiideer. Kuwa na timu inabidi u balance equation bila hvo ni kujitaftia maradhi na pressure.
Ukweli tu ndugu yangu, nipo poa kabisa happy sana na alizopata amestahili na haina matata mpigakazi wetu huyooooo
Hahahahaaa, nyie watu mmechanganyikiwa sasa.
Huyu Barnaba kanyimwa tu kaishia kushika sketi ya mtu. Ila kapongezwa kuwa ni mtunzi bora
Vanesa Mdee na mtindi wake...
Vanessa anasema kwake mtunzi bora ni nani?
vanesa hajamtaja Jux eti