Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

Diamond kanyimwa kwa sababu watu hawajui mziki vizuri. Wao ni timu tu....
Yaani wanakuwa kama mashabiki wa Arsenal hawachukui makombe ila kelele sana
 
Huyo Vanessa nguo anavaa kama amelazimishwa matiti nje nje huku kila Mara anazibaziba si bora yadondoke kama anaona ni sifa kuonesha matiti.
 
Noma sana mke wa Mbunge
 

Attachments

  • 1434232466919.jpg
    16.8 KB · Views: 190
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…