Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,819
Wii na wewe teamkiba?
Hivi zimefika ngapi shoga hebu nijuze
Duh le mutuz ulisema
haya kushinda kwa come back na mwimbo mmoja tuone basi atakazotoa maana na huko usa kumedoda pesa ya video ya cheketua haiji alivyozani....
Usiku mwema
wasaniii masikini watabaki kuwa masikini kama hawafanyi kazi.
Ally kiba kapewa kwa sababu anastahiliiii
Woyoooooooooooooooooo
Woyooooooooooooooooooooo
Woyoooooooooooooooooo
Kama hamtaki mkanye mabooooooooogaaaaaa! nifah, cute b Diva Beyonce miss strong zingifuriiiii
Vanesa kalewa? Mbona mambo yake kama Shilole hivi
Wema+jokate+ivan ÷diamond=
Bora niangalie Copa America tu.
Hawa washaanza zingua sasa yaani KTMA yangu ya kwanza kuangalia nayo inazingua hivi.
Diamond usishiriki tena
Oyooooooooooooooooo! Am speechless kwakweli.