zikienda kwa Kibar nazima TV!
zikienda kwa Kibakuli nazima TV!
Hawa jamaa wa Red carpet wa Clouds ni futuhi tupu..
Ha ha ha najua lazima fitna zitokee
Kisha hamia chooni kuharaaaaaa
BACK TANGANYIKA
hivi ali kiba utamfananisha na mwanamuziki gani kwenye hizi tuzo.inaelekea hujuwi muziki bwanamdogo.
Haha usihofu mkuu. Nyota tu leo Chibu Dangote
Clouds tv wanarusha live
Now ni red carpet interview...
Nickson george na perfect clispin wanahost the redcarpet.
Hivi inaanza saa ngapi maana naona ITV ni matangazo tuuu na nyimbo za ajabu ajabu